Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Watumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika siku yake ya pili ya kikao Kazi kinachoendelea leo Disemba 11, 2020 Jijini Dodoma. kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...