Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini
wa dini ya Kiislamu alipojumuika nao leo katika Swala ya Ijumaa
iliyoswaliwa Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar.[Picha na
Ikulu].11/12/2020.
Waumini wa Dini ya Kiislamu na
wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) alipozungumza na
Waumini hao leo mara baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa Masjid
Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].11/12/2020. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu (hawapo pichani)
katika Masjid Jibril Mkunazini Jijini Zanzibar leo mara baada ya Swala
ya Ijumaa,mbapo pia aliwataka wananchi kundosha tofauti za kiitikadi ili
kujiletea maendeleo ya Nchi yetu kwa ujumla .[Picha na
Ikulu].11/12/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...