Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Shukrani
Manya kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa
Madini Profesa Shukrani Manya katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya mara
baada ya kumuapisha katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Desemba 2020.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Waziri wa Madini Doto Biteko, Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya pamoja
na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Latifa Mansour (wa kwanza
kushoto) PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...