Meneja Mwandamizi wa benki ya Exim Zanzibar Bw Mwinyimkuu Ngalima (kulia) akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bi Amani Makungu wa Zanzibar. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.
Afisa
Mwandamizi Huduma kwa wateja benki ya Exim Bi Farida Chambo (kulia)
akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya
'Chanja Kijanja na Exim MasterCard' ya benki hiyo Bw Krushant Buhecha
wa jijini Dar es Salaam. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni
hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule
kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda
Serengeti na Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa
kimelipiwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...