Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (wa tatu kushoto) akisikiliza Hutuba pamoja na Waumini mbali
mbali iliyotolewa na Sheikh Ali Fakih Abdallah wakati aliposhiriki
katika Swala ya Ijumaa Iliyoswaliwa leo katika masjid Raudhwa Darajabovu
Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu] 08/01/2021.
Baadhi ya waumini wa Dini ya
Kiislamu waliohudhuria katika Swala ya Ijumaa wakisikiliza Hutuba
iliyotolewa na Sheikh Ali Fakih Abdallah katika Masjid
Raudhwa Darajabovu Wilaya ya Mjini Unguja ambapo Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) alishiriki nao katika swala hiyo leo.[Picha na Ikulu]
08/01/2021.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (kulia aliyesimama) akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu
na kutoa nasaha zake mara baada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo
katika Masjid Raudhwa Darajabovu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini
Magharibi .[Picha na Ikulu] 08/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana
na wasaidizi wake mara baada ya swala ya Ijumaa aliposhiriki pamoja na
Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Raudhwa Darajabovu Wilaya
ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 08/01/2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...