
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, leo wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kama inavyoonekana pichani.
Miongoni mwa Barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami kipindi cha serikali ya awamu ya tano ni Barabara inayoanzia Morocco hotel hadi Sinza Kijiweni Km 5, Barabara ya Tandale muonekano wa barabra hiyo kwa sasa kama unavyoonekana pichani.Upanuzi wa barabara ya Bamaga - Shekilano umefikia hapa kwa sasa kama ivavyoonekana pichani Barabara hii ina urefu wa kilomita 3.7.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...