Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati alipowasili  wilayani Tunduru kuanza zaira ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2021. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme, Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro na wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akisoma taarifa ya mkoa huo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati Waziri Mkuu alipowasili wilani Tunduru kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili wilayani Tunduru kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Januari 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...