RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akiwafariji Wanamichezo waliopata ajali ya kuvamiwa na gari katika barabara ya migombani wakati wakiwa
katika mazoezi Ndg. Sastenesi Amasi na Ali Abdulla, waliolzwa katika Hospitali
Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi
akimfariji mmoja kati ya Wanamichezo waliopata ajali ya kugongwa na gari katika
barabara ya Migombani wakiwa katika mazoezi, akiwa amelazwa katika Hospitali Kuu
ya Mnazimmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka
katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar baada ya
kuwatembelea na kuwafariji Wanamichezo wa Kundi la MUWAFAKI waliopata ajali ya kuvamiwa
na gari wakati wakiwa katika mazoezi barabara ya migombani Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...