Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Seif Gulamali akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati, Ndugu Felister Mgonja. Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati.
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani akiwasilisha maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara yake mbele ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...