Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (MB) akiangalia picha za waliokuwa Majaji Wakuu wa Tanzania katika banda la Mahakama alipotembeea maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katka Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...