Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na
Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumaliza kwa Sala ya
Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumaliza kuzungumza na
kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa kumaliza
kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika Masjid Rahma Nungwi,
ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi (kulia kwa
Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi , akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya
kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 29-1-2021.(Picha na Ikulu.)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...