
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kushoto), akiwasili katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo, kutembelea Majeruhi wa Ajali
ya Treni B17 na Kichwa cha Treni 9004 iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.
Treni hiyo ilikuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Tabora,
Katavi (Mpanda), Kigoma na Mwanza ikiwa na abiria wapatao 720
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene, akisaini Kitabu cha Wageni waliofika
katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo, kutembelea Majeruhi wa
Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa
Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia
hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo
tarehe 03 Januari, 2021.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene, akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa
Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia
hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo
tarehe 03 Januari, 2021.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene, akiwajulia hali baadhi ya Majeruhi wa
Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene, amewajulia
hali Majeruhi hao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo
tarehe 03 Januari, 2021.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kushoto) akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Ibenzi Ernest
(Wakwanza kulia) alipokuwa akipokea Taarifa ya Maendeleo ya Majeruhi 66
na Waliolazwa 32 wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.
Treni hiyo ilikuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Mikoa ya Tabora,
Katavi (Mpanda), Kigoma na Mwanza ikiwa na abiria wapatao 720. Watatu
kutoka kulia ni Mkurugenzi Huduma za Uuguzi wa Hospitali hiyo, Dkt.
Stanley Mahundo. Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza
kulia) akiwaaga baadhi ya ndugu na jamaa waliofika katika Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021 alipotembelea
Majeruhi wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wapili kutoka
kushoto) akiagana na baadhi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Dodoma leo, baada ya kumaliza kuwajulia hali baadhi ya Majeruhi
wa Ajali ya Treni iliyotokea Maeneo ya Kigwe-Bahi. Simbachawene,
amewajulia hali Majeruhi hao Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Januari, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...