Afisa Probesheni Kiongozi Mkoa wa Dodoma, Deograsias Shirima akizungumza na baadhi ya Wafungwa wa Kifungo cha Nje wakati wakitumikia kifungo hicho cha nje kwa kufanya shughuli za kufyeka na kulima eneo la nje katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyoko Mtumba, jijini Dodoma leo. Wafungwa hawa ni wale wanaotumika adhabu kwa mujibu wa Sheria ya Huduma kwa Jamii N. 6/2002.
Baadhi ya wafungwa wa Kifungo cha nje wakitumikia kifungo hicho cha nje kwa kufanya shughuli za kufyeka na kulima eneo la nje katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyoko Mtumba, jijini Dodoma leo. Wafungwa hawa ni wale wanaotumika adhabu kwa mujibu wa Sheria ya Huduma kwa Jamii N. 6/2002.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...