Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akifafanua jambo kwa  Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe.

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kushoto), akimweleza jambo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Balozi Wilson Masilingi  wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma leo 11 Februari 2021. Balozi Masilingi aliipongeza Tume na Serikali kwa kuweza kujenga Ofisi zake na kusimamia vyema Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28,2020 kwa kutumia fedha zake yenyewe. (Picha na Mroki Mroki – NEC.)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...