WAFANYABIASHARA wa matunda katika Soko la Tazara leo Febuari 19,2021 jijini Dar es Salaam wameeleza hali ya upatikanaji wa matunda yakiwemo matikiti maji wanayouza kwa wateja wao sokoni hapo.
Wakizungumza na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam wafanyabiashara hao wametaja bei ya tikiti maji moja ni kati ya Shilingi 700 hadi 4500.
Kazi ya kupanga matikiti maji ukiendelea. (Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...