Logo, company name

Description automatically generated

*Tengeneza Pesa Kupitia Michezo Yenye Odds Kubwa Wiki Hii.

LIGI ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds ya 2.15 kushinda kama mwenyeji wa mchezo huu.

RB Leipzig ataikaribisha Liverpool katika dimba la Puskás Aréna (Budapest) baada ya mamlaka za nchini Ujerumani kuweka vikwanzo kwa timu za Uingereza, Odds ya Liverpool kushinda 2.35 kupitia Meridianbet.

Jumatano FC Porto watakuwa wenyeji wa Juventus pale Estádio do Dragão (Porto) katika mechi tatu za mwisho Porto hajawah kushinda dhidi ya Juventus, ukitembelea Meridianbet utaona Juventus ana Odds 2.05 kwenye mechi hiii.

Katika moja ya mechi ya kibabe Jumatano ni Sevilla anaialika Dortmund, mara ya mwisho walikutaka kwenye Europa League wakatoka sare. Katika Meridianbet Sevilla ana Odds nono ya 2.55.

Bila kusahau Alhamisi kuna UEFA Europa League AC Milan watakuwa wageni wa FK Crvena Zvezda pale Rajko Mitić (Belgrade) na Meridianbet hatujawahi kukucha salama kwa Odds zetu bomba Milan ana 2.15 kushinda mechi hiyo.

Mechi kali katika Ligi ya Europa wiki hii ni Benfinca dhidi ya washika mitutu wa London, Arsenal, kuna Odds ya 2.55 kwa Arsenal kupitia Meridianbet kwenye mchezo huu 


Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...