Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji safi na Salama na Mazingira katika Eneo la Usambazaji Maji Kisarawe, Pugu na Gongolamboto Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya siku mbili ya kikazi ya  kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira katika Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. katikati ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemenja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Nyumba aliyokuwa akiishi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati alipokuwa akifundisha Shule ya Pugu Sekondari kuanzia mwaka 1952 hadi mwaka 1955 iliopo Pugu Juu mara baada ya kuzindua Mradi wa Maji safi na Salama, alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. . katikati ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemenja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu Juu baada ya kuzindua Mradi wa Maji safi na Salama katika Eneo hilo leo Febuari 13,2021. Makamu wa Rais Yupo katika ziara ya kikazi ya siku mbili kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...