Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Ubungo (Kijazi Interchange) Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kamba kuzindua jina la Daraja la Juu la Ubungo Interchange ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuliita Daraja hilo ili kutambua Utumishi uliotukuka wa Marehemu Balozi Mhandisi John William Kijazi katika sherehe zilizofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
mara baada ya kuzindua jina la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea sehemu ya chini ya la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng.
Patrick Mfugale wakati akivuta utepe kufungua Rasmi Daraja la Juu katika
Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa
linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma maandishi katika vibao vya Ufunguzi wa Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo mara baada ya kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya
Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea eneo la mkutano mara baada ya kufungua Daraja la Juu Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Daraja la Barabara za Juu Kijazi Interchange kama linavyoonekana pichani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulifungua leo tarehe 24 Februari 2021. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...