RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri Mambo
ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene (kulia kwa Rais)
wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,
mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kushoto
kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe.Khamis Hamza Chilo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene, alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yamefanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24/2/2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene, alipofika Ikulu
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza
la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Khamis Hamza Chilo.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania Mhe. Goerge
Boniface Simbachawene baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha na
kufanya mazungumzo leo 24/2/2021.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...