RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Chuo cha Mawalimu Nyerere Foundation baada ya kumaliza mazunguzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mhe. Stephen Wasira na Mkuu wa Kampasi ya Karume Zanzibar Dr.Rose Mbwete na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Prof.Shadrack S. Mwakalila na Naibu Mkuu Chuo (PFA) Dr. Godwin Kaganda.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere Foundation Mhe.Stephen  Wasira, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe Chuo cha Mwalimu Nyerere Foundation ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mhe. Stephen M.Wasira (kulia kwa Rais) na Naibu Mkuu wa Chuo (PFA) Dr.Godwin Kaganda na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Chuo Prof.Shadrack S. Mwakalila, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...