Katika kusherekea msimu huu wa sikukuu
ya VALENTINES kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha
promotion hii itahusisha kwenda kupata chakula cha usiku katika hotel kubwa ya nyota
tano SERENA HOTEL kwa mteja atakayenunua TECNO Spark 5pro katika msimu huu wa
Valentine.
Spark 5 pro ni simu yenye kioo kipana cha nch 6.6, Spark 5pro
inakupa nafasi ya kuchukua picha kwa ukubwa zaidi kutoka na kuwa na wigo mpana
wa kioo vilevile ina MP16 nyuma na selfie MP 8, memory kubwa GB64 +GB3 RAM na
battery yenye kudumu na chaji kwa muda mrefu mAh5000.
Ni vipi unaweza kupata nafasi hiyo?
tembelea maduka ya TECNO jipatie TECNO spark 5pro na moja kwa moja utakua
umeingia katika droo, lakini vile vile kwa upande wa online unaweza kushirika
kwa kupost picha ya umpendae na kuisindikiza na ujumbe unaoashiria upendo kisha
weka #letlovelead.
Akizungumza na waandishi wa habari
katika uzinduzi huo Meneja wa Mauzo Mariam Mohamed amesemea kwamba, “promosheni
hii inalenga kuimarisha upendo na wateja wetu una kuwaonyesha ni kwa namna gani
tunawajali na kuwathamini lakini pia kuwafanya watambue kama wao pia ni
wanafamilia wa TECNO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...