Familia ya Kawawa na Kayugwa kwa pamoja tunawaarifu kuwa mazishi ya Marehemu Mchungaji Annette Ashura Kawawa yatafanyika siku ya Jumatano tarehe 3/3/2021 saa 10 alasiri kwenye Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Kabla ya hapo kutakuwa na ibada ya mazishi na heshima za mwisho kwa Marehemu itakayofanyika Siku hiyohiyo kwenye viwanja vya Leaders club Kinondoni kuanzia saa 6 mchana.
AMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI, MWENDO AMEUMALIZA, IMANI AMEILINDA". 2Timothy 4:7
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...