Katika kuendeleza lengo la kuwainua kiuchumi watumiaji wa Tigo, Patapata mnamo tarehe 1/3/2021 ilifanya droo kubwa ya mwezi ambayo ilitoa Milioni 10 kwa washindi wawili, Peter Francis Mapunda mpia zege kutoka Tanga na Kudula John George mfanyabiashara ya genge kutoka Buza Dar es salaam.”Lumuliko Mengele-Meneja Uendeshaji wa The Network


Meneja Uendeshaji wa The Network akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa kukabidhi milioni 10 kwa washindi wa Patapata mapema wiki iliyopita.


Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa genge lakini na amini kwa ushindi huu niliyoupata nitaenda kuongeza mtaji kwenye biashara yangu ili iwe kubwa zaidi lakini pia nitaangalia nini naweza kufanya kujiendeleza zaidi maana Milioni 5 sio ndogo na fursa kama hii nitaakikisha naitumia vizuri ili nitoboe kimaisha” Kudula George- Mshindi wa Milioni 5
#PataPataNaTigoPesa


Ni muda sasa nimekuwa sina kazi rasmi kibarua chochote ninachopata nafanya ili nipate kipato cha kila siku. Hizi pesa nilizoshinda kwangu mimi ni nyingi sana hivyo nitazitumia kufungua biashara itakayo kuwa inaniingizia kipato ili niachane na kuwa kibarua”Peter Mapunda-Mshindi wa Milioni 5 kutoka Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...