Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km
1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha
Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa
kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Excavator ikishushwa
chini ya sakafu ya bahari kwa ajili ya kazi ya kuchimba katika
muendelezo wa kazi za ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo
linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach
Ujenzi
wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha
eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach ukiendelea kwa kasi.Daraja la Tanzanite lina urefu
wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye
urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2
za watembea kwa miguu. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...