Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa majengo ya hospitali ya rufaa ya Mkoa Songwe,hivyo  ameiagiza Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe kufanya uchunguzi juu ya mwenendo wa ujenzi huo na kutoa taarifa ndani ya siju 14.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...