Na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.


Wafanyabiashara katika Soko la Kisutu wilaya ya Ilala  leo Mei 24, 2021. jijini Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa baadhi ya matunda yanapatikana kwa wingi,wamesema bei ya matunda inatengemea na ukubwa na ubora.


Wakizungumza leo na Michuzi Tv  jijini Dar es Salaam wafanyabiashara  hao wamesema kwa sasa biashara ipo vizuri na matunda yanauzika, wananchi wamekuwa wakipita sokoni hapo kujipatia  mahitaji yao mbalimbali katika soko hilo,
Wafanyabiashara hao wameishukuru Serikali kwa uamuzi wake wa kulijenga upya soko lao ili waweze kufanya biashara zao katika mazingira mazuriEmbe sokoni hapo ni kati ya Sh.500 hadi Sh.1000Bei ya Machungwa katika soko la Kisutu wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam yanauzwa kati ya sh.100hadi 200 kazi ikiendeleaBei ya  'Apple' ni shlingi 1000 katika soko la Kisutu jijini Dar es Salaam.( Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...