Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Mei, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Mei, 2021. Wengine katika picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Uwekezaji Geoffrey Mwambe, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Masauni, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata pamoja na wajumbe wengine waliombatana na Alhaji Aliko Dangote.

Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Alhaji Aliko Dangote akizungumza na wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...