Na Victoria Robert,Geita.
Mkuu wa mkoa wa Geita Rosemary Swenyamule ameanza kazi rasmi
kwa kutoa maagizo kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Geita kwa kumtaka kuziboresha/kuzikarabati,
Maagizo hayo ameyatoa wakati wa makabidhiano ya ofisi kati
ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ambae ameamishiwa mkoa
wa Mara ambapo amehaidi kutekeleza miradi yote ya maendeleo ambayo ilianzishwa na mhandisi Gabriel ili kuwaletea
maendeleo wananchi wa Geita.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...