Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi Taarifa ya Kamati iliyoundwa mwezi April mwaka huu kuchunguza tuhuma za Ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya Rasilimali Watu zinazoikabili Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyopelekea Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Devotha Mdachi kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi , Taarifa hiyo imekabidhiwa jana Jijini Dar es Salaam kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Kijazi kwa ajili ya kufanyiwa kazi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi (wa pili kushoto) wakipokea Taarifa ya Kamati iliyoundwa mwezi April mwaka huu kuchunguza tuhuma za Ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya Rasilimali Watu zinazoikabili Bodi ya Utalii (TTB) iliyopelekea Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Devotha Mdachi kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi na kupekelea kuundwa kwa Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Bw. John Mtega ( wa pili kulia), Makabidhiano hayo yamefanyika jana Jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...