Wajasiliamali wa jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamepanga bidhaa zao kandokando ya Barabara katika kituo cha Daladala wakiwasubiri wateja wao wanao toka sehemu mbalimbali za jiji wawahudumie kama inavyoonekana pichani
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...