Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira na filimbi Mwamuzi Rahma
Kilimba wakati alipofungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Msingi
(UMITASHUMTA) na Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA)
kwenye uwanja wa Nangwanda SIjaona mjini Mtwara, Juni 8, 2021. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa (wa pili kushoto)
wakisalimiana na viongozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa Nangwanda
Sijaona mjini Mtwara ambapo Waziri Mkuu alifungua Mashindano ya
Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Mashindano ya Michezo ya
Shule za Sekondari (UMISETA), Juni 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira na filimbi Mwamuzi Emmanuel Mwandembwa wakati alipofungua Mashindano ya Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA ) na Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari (UMISETA ) kwenye uwanja wa Nangwanda SIjaona mjini Mtwara, Juni 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...