Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 07, 2021. kwenye Mazungumzo yao Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 07, 2021. Ambapo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...