MKUU wa Mkoa wa Arusha Ndg .John Mongela amemuwapisha  Mwl.Raymond Mwangwala ambaye ameteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.

 Kabla ya uteuzi huo Mwl.Raymond Mwangwala alikuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM.) Aidha Mongela amemuapisha Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...