Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita skulini hapo leo
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa nne kulia)akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto kwa Mama) pamoja na Viongozi mbali mbali alipotembelea darasa la Komputa baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo
 

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akiwaangalia wanafunzi Majid Mohamed Msanif na Hajra Ali Khamis walipokuwa wakifanya mazoezi ya Vitendo alipotembelea Chumba cha Maabara baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto)aki angalia mwanafunzi Ameir Khalifa Hassan alipokuwa akifanya mazoezi ya Vitendo ya upasuaji alipotembelea Chumba cha Maabara baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) wakifuatana na Viongozi wengine alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo(kulia) Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt.Mehment Gulluoglu .[Picha na Ikulu] 12-6-2021.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...