Mkurugenzi Mkazi WWF Dkt Aman Ngusaru (kulia), Mkurugenzi wa Vodacom Foundation (katikati) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania Prof Santos Silaya wakishiriki upandaji wa miti jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea siku ya Mazingira Dunia. Vodacom Tanzania amekuwa ni mshirika mkubwa kwenye utunzaji wa mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti ili kufanya Tanzania sehemu salama ya kuishi
Home
HABARI
Vodacom Tanzania Plc yashiriki upandaji wa miti kuelekea kilele cha siku ya mazingira duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...