Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ( kushoto) akikabidhiwa  funguo na kadi ya gari  ya kubebea wagonjwa kutoka kwa Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Deogratius Shayo litakalotumika kwa ajili ya kubebea Wagonjwa  kwenye kituo cha Afya cha Mji Mwema katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea  ikiwa ni miongoni mwa magari 10 ya kubebea wagonjwa  yaliyokabidhiwa kwa Wabunge ikiwa ni muendelezo wa jitihada za dhati za Serikali za kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao. Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh.bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya,Maendelei ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 8 Juni, 2021  Jijini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ( kushoto) akimkabidhi  funguo na kadi ya gari  ya kubebea wagonjwa kwa Dkt. Amos Mganga litakalotumika kwa ajili ya kubebea Wagojwa  kwenye kituo cha Afya cha Mji Mwema kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea  ikiwa ni miongoni mwa magari 10 ya kubebea wagonjwa  yaliyokabidhiwa kwa Wabunge ikiwa ni muendelezo wa jitihada za dhati za Serikali za kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao. Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh.bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya,Maendelei ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 8 Juni, 2021  Jijini Dodoma.
 Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ( katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na  Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Deogratius Shayo ( wa pili kulia) pamoja na Maofisa wengine kutoka Wizara ya Afya, ikiwa ni miongoni mwa magari 10 ya kubebea wagonjwa  yaliyokabidhiwa kwa Wabunge ikiwa ni muendelezo wa jitihada za dhati za Serikali za kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao. Magari hayo 10 ni kati ya magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya sh.bilioni sita yaliyonunuliwa na Wizara ya Afya,Maendelei ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Global Fund. Makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 8 Juni, 2021  Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...