RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni Mjini Magharibi leo kuzindua kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa  kabla ya Uzinduzi wa  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha  kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo  katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)  alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn(hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi    alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo  na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021. 
Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
Baadhi  ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha  "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium  Desalegn(hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 29/07/2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...