Afisa Mikopo Mkuu wa HESLB, Tuli Madhehebi akimhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Afisa Mikopo Mkuu wa HESLB, Tuli Madhehebi akimhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Afisa Mikopo wa HESLB, Nicolaus Kasamia akiwasiliza wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Wateja mbalimbali waliotembelea banda la HESLB, wakitazama Ankara ya taarifa ya deni la mkopo wakati walipotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Afisa Mikopo wa HESLB, Deborah Justine akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja walitotembelea Banda la HESLB katika jana (Jumatano Julai 7,2021) Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Maafisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu Juu (HESLB), Rosada Fredrick na Nicolaus Kasamia wakitoa ufafanuzi kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Atlas ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea banda la HESLB jana (Jumatano, Julai 7, 2021) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...