
Wananchi wa kijiji cha Kalambazile wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alipotembelea kijijini hapo kwa Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai 8, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu).


Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akihutubia wakazi wa kijiji cha Kalambazile,wakati wa kikao cha Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai 8, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu).
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Irene Alex Ndyamkama akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Namkanga wakati wa cha Balozi wa Shina namba 6 ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa leo tarehe 8, Julai 2021.
Mbunge wa Jimbo la Kwela Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Namkanga wakati wa cha Balozi wa Shina namba 6 ikiwa siku ya pili ya ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa leo tarehe 8, Julai 2021.(Picha na CCM Makao Makuu).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...