Msajili Mwandamizi kutoka RITA, Rehema Mushi akiwaomba fomu za wananchi waliofika kwenye banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili awahudumie leo katika maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi TV)
kama inayoonekana pichani kazi ikiendelea ya kuwahudumia wananchi.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi TV)
Wananchi wakijaza fomu kwaajili ya veti vya kuzaliwa kwenye banda la RITA katika ya maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Kama inavyoonekana picha wananchi wakiwa kwenye foleni kwenye banda la Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) leo katika ya maonesho 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...