Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu (wapili kulia), mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika masuala ya ulinzi na ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini, Dkt. Mehmet Gulluoglu, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika msauala ya ulinzi na usalama kati ya Serikali ya Tanzania na Uturuki. Kikao hicho kilifanyika Ofisi Ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...