Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Bi Salome Omari wakati wa kikao cha Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai7, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akihutubia wakazi wa kijiji cha Kilangawana,wakati wa kikao cha Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai7, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...