Mwakilishi wa kampuni ya Bia ya Serengeti alimwelekeza mmoja wa wateja namna ambavyo anaweza kujaza fomu kwa ajili ya kuomba kunufaika na mradi wa kunyanyua baa baada ya kuathiriwa na ugonjwa wa Corona unaojulikana kama Raise the Bar.
Hassan
Matata akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa MK bar iliyopo jijini Dar
es Salaam namna ya kujaza fomu ya maombi kwa ajili ya kuomba misaada
mbali mbali inayotolewa na Kampuni ya SBL kupitia mpango wa kusaidia baa
kunyanyuka maarufu kama Raise the Bar
Mmoja
kati ya wateja waliofika katika banda lililowekwa kwa ajili ya
kuwaelekeza wenye mabaa namna ya kujisajili katika mpango wa kuyasaidia
mabaa kunyanyuka unaojulikana kama Raise the Bar au Tunyanyuke Pamoja
akipata maelekezo kutoka kwa wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
Faith Mpawa, mmoja kati ya wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa baa ya Meridian iliyopo Vijana Kinondoni namna ya kujisajili katika Mpango wa kuzisaidia baa kunyanyuka maarufu kama Raise the Bar unaofadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...