MKUU wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee leo akiwa pamoja na Mkuu wa Magereza Mkoani Dar es Salaam (hayupo pichani) wamepatiwa chanjo ya Corona ambapo, pia Mkuu wa Jeshi hilo amewaasa askari wa Jeshi la Magereza waliopo mkoa wa Dar es Salaam kufika Hospitali Kuu ya Jeshi la Magereza iliyopo Ukonga ili kupata chanjo hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...