MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam  Amos Makalla leo August 18 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili asubuhi ya leo Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere ukitokea Mkoa wa Pwani na kuukabidhi kwa Jiji la Ilala kwaajili ya kuanza shughuli ya uzinduzi na uwekaji mawe ya msingi kwenye miradi ya maendeleo.

Akipokea Mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Aboubakar Kunenge, RC Makalla amesema kwa siku tano ambazo  Mwenge wa Uhuru utakuwa Dar es salaam utapitia miradi ya maendeleo 46  yenye thamani ya Shillingi Billion 105.1.

Mwenge wa Uhuru umeanza rasmi kukimbizwa leo Mkoa wa Dar es salaam kwa kuanzia Jiji la Ilala kisha katika Wilaya za Ubungo, Kinondoni, Kigamboni na Temeke ambapo ifikapo August 23 Mwenge huo utakabidhiwa kwa Mkoa wa Lindi ukienda na kaulimbiu inayolenga kuhimiza Matumizi sahihi ya TEHAMA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I want to thank Dr Patrick a very powerful spell caster who help me to bring my husband back to me, few month ago i have a serious problem with my husband, to the extent that he left the house, and he started dating another woman and he stayed with the woman, i tried all i can to bring him back, but all my effort was useless until the day my friend came to my house and i told her every thing that had happened between me and my husband, then she told me of a powerful spell caster who help her when she was in the same problem I then contact Dr Patrick and told him everything and he told me not to worry my self again that my husband will come back to me after he has cast a spell on him, i thought it was a joke, after he had finish casting the spell, he told me that he had just finish casting the spell, to my greatest surprise within 48 hours, my husband really came back begging me to forgive him, if you need his help you can contact him with via email: drpatrickspellcaster@gmail.com or add him up on his whatsapp +1 662 493 2087 is willing to help anybody that needs his help.
    https://sabachaudhry1.blogspot.com/
    https://drpatrickspellcast.blogspot.com
    https://www.facebook.com/Drpatrickspellcaster11

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...