Wajasiiamali
wanaojihusisha na uandaaji na uuzaji wa vitafunwa mbalimbali wakiendelea na biashara yao leo asubuhi pembeni mwa barabara ya
Kilwa kata ya Mkuranga Wilaya ya
Mkuranga mkoani Pwani,akina mama hao huamka alfajiri kuwahi wateja wao ambao wengi wao ni wafanyakazi wa viwandani,Madereva na Makondakta wa Daladala wakiwemo wapita njia.(Picha na
Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...