Na Mwamvua Mwinyi..
Mbunge wa
Jimbo la chalinze , Ridhiwani Kikwete,ameendelea na ziara yake katika
Tarafa ya Miono kwa kufanya mikutano na Wananchi kuzungumza maendeleo ya
maeneo mbalimbali na Kuhimiza Kupata Chanjo ya Uviko 19 kwa wananchi.
Ridhiwani
alielezea, katika ziara hiyo anasikiliza kero ambapo zipo anazozijibia
utekelezaji wake unavyoendelea na nyingine mpya anazipokea kwenda
kuzifikisha maeneo husika zifanyiwe kazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...