Na Jamaly Mussa, DSJ
BAADA ya ukimya wa muda mrefu Msanii wa Bongo Fleva Baraka The Prince anatarajia kuachia album yake inayokwenda kwa jina The Black Prince Oktoba mwaka huu.
Baraka The Prince amedokeza kwamba ujuio wa EP yake hakuna ambaye ataboreka huku akieleza nyimbo zake katika albamu hiyo ameimba mahadhi ya R$B.
Msanii huyo ameamua kuitambulisha Albamu yake mpya kwa kuweka picha ya album hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.Hata hivyo hajaweka wazi idadi ya nyimbo ambazo zitakuwemo.
Ujio wa album hiyo inakwenda kupunguza waliyonayo mashabiki wa muziki wa kizazi ambao kwa muda hawakusikia msanii huyo akitoa nyimbo mpya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...