WIKIENDI poa inakujia na nafasi kubwa sana ya kupiga pesa kwenye gemu mbalimbali za wikiendi, kuanzia Championship na ligi kibao kubwa. Nimekuwekea odds za msingi za Championship, Ligi Kuu Uingereza na Serie A zinazokupa nafasi nzuri zaidi ya kushinda wikendi hii.
Mshike mshike wa Championship unaendelea kukupa tabasamu na fursa ya kutunisha waleti yako. West Brom ni mwenyeji wa QPR, wageni hawakuwa na bahati katika mechi zao sita za ugenini dhidi ya West Brom, wakitoa sare tatu, na kupoteza mechi 3. Mpe ushindi mwenyeji West Brom kwa odds ya 1.75 kutoka Meridianbet.
Huko Serie A, macho ya wapenzi wa soka yanaitazama zaidi mechi ya mabingwa watetezi Inter Milan dhidi ya Atalanta, wakati Inter akiwa ameshinda mechi moja na kutoa sare moja katika gemu tano za mwisho Serie A, mpinzani wake amepoteza mechi moja na kutoa sare mechi moja kati ya tano alizocheza. Mpe ushindi Inter Milan na Meridianbet wamekupa Odds ya 2.05.
Tottenham wameshinda gemu moja tu kati ya gemu 28 za ugenini dhidi ya Arsenal wakiwa wametoa sare mechi 11 na kupoteza mechi 16. Wanasafiri kupambana na Washika Bunduki wakiwa wanajiandaa kurekebisha historia dhidi wa wapinzani wao. Meridianbet wanakupa odds ya 2.40 kwa Arsenal kushinda mechi hii.
Mwenyeji wa Torino, Venezia hajawa na bahati zaidi msimu huu ukifananisha na mpinzani wake. Wakati Torino akiwa amepata ushindi mara mbili kwenye gemu nne alizocheza, Venezia ameshinda gemu moja tu kati ya tano alizocheza, hii ni nafasi ya kutumia nafuu ya kuwa wenyeji kwa Venezia. Meridianbet wamekuwekea odds ya 2.20 kwa mechi hii kutoa sare.
Wikiendi hii unaweza kupiga mkwanja zaidi na Meridianbet kwa kuangalia michezo mingine kibao unayoweza kubashiri mtandaoni, tembelea www.meridianbet.co.tz , au piga *149*10# kubashiri kwa USSD bila intaneti. Endelea kufurahia ubashiri na Mabingwa.
🔥
ReplyDelete