Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Smon Sirro akizungumza na baadhi
ya Maafisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi Dodoma (Hawapo pichani)
wakati wa kikao na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Francis
Mutungi (wa pili kulia) ambapo mambo kadhaa yalijadiliwa kuhusiana na
changamoto za kisiasa.Picha na Jeshi la Polisi.
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi (aliyesimama)
akizungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi Makao Makuu Dodoma
(hawapo pichani) wakati wa kikao cha kujadili mambo kadha wa kadha
kuhusiana na changamoto za kisiasa nchini, Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini IGP Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...